Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,801
- 113,362
01:35
Wazee wa kubadilisha ratiba ya kula
AmiinNawe pia
Tunaelekea kazini mkuu5:41 hii ndio mida ya kukagua lindo na kukuta walinzi wamelala
Ulikunywa kahawa?👁👁
00:37
Ulikimbia mapema sana mkuu00:25
Kwani na mikoani mnawahi kuamka kama wa Daslamu?Tunaelekea kazini mkuu
Nilibaki mwenyeweUlikimbia mapema sana mkuu
Yeah inafuatana na kituo cha kazi kilipo mkuu....kitamboo sipo kwa bedKwani na mikoani mnawahi kuamka kama wa Daslamu?
🤣🤣pole sanaNilibaki mwenyewe
Asante🤣🤣pole sana
Na kwako pia mkuuNiwatakie asubuhi njema
Pole SabaYeah inafuatana na kituo cha kazi kilipo mkuu....kitamboo sipo kwa bed