Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Sikuwa na nafasi ya kusema kitu, beside ilikuwa mbali.Si mngemchukua with you, Au ilikua mbali?
Kingine kilicho niuma ni paka wangu kufa, sikula siku nzima.
Sikuwa na nafasi ya kusema kitu, beside ilikuwa mbali.Si mngemchukua with you, Au ilikua mbali?
Mimi sipendi Pets tena paka ndiyo kabisaa, pole though..Sikuwa na nafasi ya kusema kitu, beside ilikuwa mbali.
Kingine kilicho niuma ni paka wangu kufa, sikula siku nzima.
Basi tatizo Hilo, una penda nyoka au mamba ehh??😄Mimi sipendi Pets tena paka ndiyo kabisaa, pole though..
Napenda kula tu niache😀Basi tatizo Hilo, una penda nyoka au mamba ehh??😄
Napenda kula, ila without pets huo ni uongo aise 😄Napenda kula tu niache😀
Pole mkuu🤣🤣Mkuu usiombe yakukute😀😀
Amen00:00
Glory to God
12:00 AM
mwaka unakimbia huo...
Sasa tuki ku mention Ina saidia nini, 🤣😂12:01 nombeni mniamshe saa kumi na moja na nusu
Amen 🙏🏽Amen
Ulikopeleka mboga🤒12:01 nombeni mniamshe saa kumi na moja na nusu