dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,833
- 3,750
AmenHizi pesa zetu zisiwatese wengine kwa makusudi maana tukifa ni haohao watazitumia hovyo kwa makusudi
Mwenyezi Mungu atupe hekimašš½
AmenHizi pesa zetu zisiwatese wengine kwa makusudi maana tukifa ni haohao watazitumia hovyo kwa makusudi
Mwenyezi Mungu atupe hekimašš½
MremboBae Charles kilian mie ndo naamka nijiandae to kazini.See uuu[emoji8][emoji8][emoji8]
Yaani nilishtuka usingizini nikacomment nikarudi kulalašTime imeenda sana mama
Kumbe unajua kuimbaunaweza kufanyaa, kutenda mambo makubwa zaidi ya niombavyo,, maambo makubwa zaid ya tarajio[emoji1545], umenipenda sana Bwana na kunitetea[emoji443][emoji442][emoji445][emoji445],, 00:21
šmkuu ššššššš¤£š¤£ tulia weweeš¤
Kumbe unajua kuimba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yule hutomweza,Anapenda mishangazi yote duniani [emoji849]
Siku lala aisee, nilikuwa naangalia documentary fulani ya kichina.Kijana mdogo utakua umeshalala weweš
02:46
Yaani saa 1 ndo unaa onekana kambini, huna tofauti na kp, kula poteaš¤šNipo sana mkuu jasiri akimbii chama
Wamekupumzisha
Aache kuchezea wasio chezewa hilo ni funzo akili imkae Sawa kwanzayaaaaan[emoji23] last seen ni 1min
Me ni kitengo K.O (kazi za ovyo ovyo) nilikua jukwaa la vijana maarufu kama kataa ndoa nawapa somoYaani saa 1 ndo unaa onekana kambini, huna tofauti na kp, kula poteaš¤š
Hii ngoma sita kasoro mkuuNi saa ngapi huko