Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,707
Nimekuja kugundua masikini wengi wanalala sana
Tupo macho mkuubwana kivuli[emoji23][emoji23][emoji23] shadow" em anza kusogea sogea
Karibu sana mkuuHodi humu
Shukrani mkuu, kwema huku.?Karibu sana mkuu
Huku ni kwema mkuu lindo linaendeleaShukrani mkuu, kwema huku.?
Hakuna haja ya karibu we zama ndaniHodi humu
Pombe sigara naweza acha bila kung'ang'ana
Lakini hawa wasichana vile nawapendaa
Ni kama laana.
Heri ya nini? 🤣Heri ya siku ya wanawake duniani
Hakuna haja ya karibu we zama ndaniHodi humu
Hakuna haja ya karibu we zama ndani
Yapo mkuu tena kuzidi ya jana.vip leo hakuna makelel huko? maan ndo siku yenyewe hii ya tukio[emoji23]
Uliona wapi mtu anagonga hodi kwenye nyumba za ibada au bar?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapan kwa kweli si kwa ukaribisho huu[emoji1316]
🤣🤣Asilimia kubwa waliomo humu sasa hivi, wanamigogoro ya kimahusiano; anayebisha anyooshe mkono juu.