fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,684
- 24,003
I missed you Zulehkha. Hope you're doing fine, aren't you.?Hapana nipo na roho mpendwa
I missed you Zulehkha. Hope you're doing fine, aren't you.?Hapana nipo na roho mpendwa
Ilikuwa poa sana, ni moja kati ya weekends chache nilizozifurahia kwa mwaka huuWeekend Imeisha salama. Vip wewe ndugu?
Watakuwa wamelala mkuu,si unajua tena mambo ya weekendWatoto wazur wa Jf mbona siwaoni mitaa hii au ndio wamelala?
Vp,pana mbuzi hapo?Haya haya hapa Mererani kaza moyo a.k.a kwa mdava ndo nilipo muda huu, nani yupo karibuuuuu tujumuike pamoja.?

Ni vizuri aisee. Kula nchi siku moja moja sio mbayaIlikuwa poa sana, ni moja kati ya weekends chache nilizozifurahia kwa mwaka huu
Kweli kabisa,hizi shida sio za kuendekeza wawezakufa bila kuonja utamu wa duniaNi vizuri aisee. Kula nchi siku moja moja sio mbaya

Bia bila nyama ni sawa na chai ya mkono mmoja....kunywa tu kiongoziHaha![]()
hakuna ila bia njoo unyweee
Yani ni hivi shida zina zeesha na kuongeza idadi ya vichaaKweli kabisa,hizi shida sio za kuendekeza wawezakufa bila kuonja utamu wa dunia![]()
![]()
Mwamba sie ndio tunamalizia ngumuuuu kumeza hapa kwa mama muuza na manyunyu kwa mbali huku kwetu kiembe mbuzHaya haya hapa Mererani kaza moyo a.k.a kwa mdava ndo nilipo muda huu, nani yupo karibuuuuu tujumuike pamoja.?
Ni weekends chache kuelekea mwisho wa mwaka. If you don't enjoy them wadhani lini tena utazifurahia kabla ya mwaka huu kuisha.?Ilikuwa poa sana, ni moja kati ya weekends chache nilizozifurahia kwa mwaka huu
Magari yamelemewa mkuu cunaju pakipambazuka kila m2 anaspeed ya kutafuta mbesaiWatakuwa wamelala mkuu,si unajua tena mambo ya weekend
Nchi umelia wapi mkuuBia bila nyama ni sawa na chai ya mkono mmoja....kunywa tu kiongozi
Yani ni hivi shida zina zeesha na kuongeza idadi ya vichaa
kweli shida mbayaNyama inanoga mchana kwa hukuBia bila nyama ni sawa na chai ya mkono mmoja....kunywa tu kiongozi
jioni ni biereee kwenda mbeleNgumu kumeza....huu ni msamiati mpya kwanguMwamba sie ndio tunamalizia ngumuuuu kumeza hapa kwa mama muuza na manyunyu kwa mbali huku kwetu kiembe mbuz
AiseeNyama inanoga mchana kwa huku![]()
![]()
jioni ni biereee kwenda mbele
kweli mnafaidi