JamiiForums Usiku wa manane
sina mafunzo ya ulinzi aisee
Ukiwa na Youngblood mlinzi mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kazini,huna haja ya kuwa na wasiwasi hata kidogo,....hapa kazi yako itakuwa tu kuniwekea gahawa na kufukuza mbu..au hizo kazi ndogo pia utashindwa bibie.
 
Popooozz, habari zenu wapendwa! Kama kawaida, popo kongwe popo zee napitia kuwasalimia, mko poa?
 
Back
Top Bottom