Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,079
Leo ni mpaka kunakuchaKalaleni engine ichemke😀😂
Leo ni mpaka kunakuchaKalaleni engine ichemke😀😂
Uzee pia unachangia, huyu angenikuta Enzi zangu ni mpaka asubuhiHao wanaokupa salute ni op kongwe wamechoka tupo Op mpya full morale
we mkongwe huna jipya mlinzi muoga
Nili ingia vitani, kukiwa na ma op wakubwa na wazuri.Hao wanaokupa salute ni op kongwe wamechoka tupo Op mpya full morale
we mkongwe huna jipya mlinzi muoga
Hata sio uzee hamkuiva nyie OP yenu 🤣 🤣 🤣 mlikua mnalima tu🤣Uzee pia unachangia, huyu angenikuta Enzi zangu ni mpaka asubuhi
Kalaleni uji pashe mapema😀, maana Hamchelewi KU DodgeLeo ni mpaka kunakucha
🤣🤣🤣kwenye ulinzi ndani ya Kombat wote ni Me hata kama tupo serengetiNili ingia vitani, kukiwa na ma op wakubwa na wazuri.
👉Wote wali surrender na kuni achia kikosi.
Halafu we wa kike au kiume??, Usije nishtaki kwenye dawati la haki za binadamu 🤔🤒😀
Wana dogde hao kuruti na private wapya mimi na vyeo vyote hivi naanzaje kudogeKalaleni uji pashe mapema😀, maana Hamchelewi KU Dodge
OP yetu ilikua ta moto course tulimaliza wachache sanaHata sio uzee hamkuiva nyie OP yenu 🤣 🤣 🤣 mlikua mnalima tu🤣
🤣🤣🤣kwenye ulinzi ndani ya Kombat wote ni Me hata kama tupo serengeti
Kuanzia leo niiteni proffesor au emperor wa ulinzi 😀🤒Wana dogde hao kuruti na private wapya mimi na vyeo vyote hivi naanzaje kudoge
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sasa mbona mnamwaga mate kituo cha ulinzi aikoooOP yetu ilikua ta moto course tulimaliza wachache sana
Bado hustahili ngoja nirudi kozi kwaajili yakoKuanzia leo niiteni proffesor au emperor wa ulinzi 😀🤒
Ww elon bado ni SENTRY TU Hata 2ic G/Comnd hujafikiaKuanzia leo niiteni proffesor au emperor wa ulinzi 😀🤒
Haha lindo tumekabizi kuruti kwa muda🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sasa mbona mnamwaga mate kituo cha ulinzi aikooo
Ngoja niku twange leo, ili uheshimu ma proffesorWw elon bado ni SENTRY TU Hata 2ic G/Comnd hujafikia
🤣 🤣 Kurutu lazma aharibu kazi muda wote anawaza kula na kulala Intelligent businessmanHaha lindo tumekabizi kuruti kwa muda
Afu we ni nani 😁😂🙄🤣 🤣 Kurutu lazma aharibu kazi muda wote anawaza kula na kulala Intelligent businessman
Kumbe wenzetu mna nashuka😂🙄, sisi hata nguo tulipewa kambini😂Mimi Serengeti nimekuja na shuka tu we unakuja na godoro kituo cha ulinzi why🤣🤣🤣 Shadow7