Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Beira Ile Mida Ilikuwa Bado Mapema Sana Ndugu YanguMkuu wewe endelea kukandamiza mabalimi
Mimi niko natoa somo la uchawi hapa
Mkuu Wa Kilinge Alikuwa Bado Hata Hajafika
Beira Ile Mida Ilikuwa Bado Mapema Sana Ndugu YanguMkuu wewe endelea kukandamiza mabalimi
Mimi niko natoa somo la uchawi hapa
Mkuu tutalonga ikifika mida ya wangaUmesema kwamba umekulia kwenye familia ya kichawi je wewe ni mchawi pia.?
Na kama ni mchawi, maana ake uko tayari kutimiza malengo ya kichawi ambayo ni tofauti na ubinadamu au kuumcha Mungu; je umeacha na kujuta mpaka unatupa tahadhari hii.?
Na kama umeacha umekuwa muumini wa nani katika nguzo kuu za imani yaani imani yako imeegemea kwa Yesu au kwa Muhamad au kwa person's natural powers as Mshana jr n Pascal Mayalla call them Psychic powers, the powers within a person determine your destiny.?
Hapo nimeanzia tu, tutaendelea........
Wao wanakesha wanahangaika kunigeuza mimi sina habari nimelala zangu.Mkuu tutalonga ikifika mida ya wanga
Nwanga mtandaoni ka iviKwahyo hapo ulipo unawanga?
Sawa mkuuNwanga mtandaoni ka ivi
Vyuma vimekaza mkuu. Binafsi nakula mlo mmoja tu kwa siku, hivyo nalala mapema kabla njaa haijaniandamaHuku papo doro sjui ndo tunasoma namba au

Eeh pole miss ila yataisha tuVyuma vimekaza mkuu. Binafsi nakula mlo mmoja tu kwa siku, hivyo nalala mapema kabla njaa haijaniandama![]()
![]()
![]()
Tutaisha sisi kabla hayajaisha.Eeh pole miss ila yataisha tu
Eeh pole miss ila yataisha tu
hivi yataisha lini lakini? 2020 au 2025? Au ndo nijiandae kisaikolojia mpaka 2030 ?
