financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
why? Aisee i do enjoy sleeping hata siku nzima naweza lala tu😀Sleeping is missing in my favorite routine😄😄
why? Aisee i do enjoy sleeping hata siku nzima naweza lala tu😀Sleeping is missing in my favorite routine😄😄
Ahaa mkuu mapeasi yapo kibao tuHebu acha kuni Panga 😄😄,
👉Ma peaz yapo??, Tofali za kuchoma za huko zikoje??
Since young mi sio shabiki wa usingizi aisee.why? Aisee i do enjoy sleeping hata siku nzima naweza lala tu😀
Ni ya rangi gani?!, Got yah😄Ahaa mkuu mapeasi yapo kibao tu
Ndiyo kazi yake mkuu, unataka ije kuliwa na nyenyere kaburini au iote kutu?😀financial services utaliwa kimasihara mda sio mrefu
Dissing and appreciating 😄😄, hii ni response ya ajabu😄😄.Ndiyo kazi yake mkuu, unataka ije kuliwa na nyenyere kaburini au iote kutu?😀
Ahsante kwa tahadhari mkuu, nipo makini pia, stories ni muhimu tunarefresh mind kidogo.
Sijadiss bana , just appreciation for the alert ⚠️Dissing and appreciating 😄😄, hii ni response ya ajabu😄😄.
👉Nyenyere SI ndo sisimizi??
Hahaa napika ila kulala ni kitu nnachopenda sanaSince young mi sio shabiki wa usingizi aisee.
Napenda kuishi hivyo tu, naeza kaa hata wiki nzima😄.
02, Afu tuna tofautiana we wa kike😄, wa kiume nalalaje siku nzima??
03, una pika kweli mkuu!?
Mkuu uki lala siku nzima, una pika saa ngapi??Hahaa napika ila kulala ni kitu nnachopenda sana
Sema hukoromi wee😄, na ukute una mapua- aloo🏃🏃🏃Hahaa napika ila kulala ni kitu nnachopenda sana
Tuheshimiane, sio wote tuna puliza mpepe😄manigaaaaaaZ
ww si ndo sadali wa kati mkuuTuheshimiane, sio wote tuna puliza mpepe😄
Pusha mwenyewe 😄😄ww si ndo sadali wa kati mkuu