Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Kelsea we ni mweupe na mrefu ehh🙄??01:04
Kelsea we ni mweupe na mrefu ehh🙄??01:04
Hapana napenda kucheki movie na mpiraAnha,kumbe.Nawe huwa unabet kwani?
Mambo jirani yangu01:28
Acha kuni joke bhana, mi niko serious ujue🙄😁Tall and black
24 hivi01:02 wakuu kuoa kuanzia miaka mingapi??.
😂😂 Na mm sitanii ujueAcha kuni joke bhana, mi niko serious ujue🙄😁
Ngoja niwashe pc hapa 🤣😂, sema Naeza kesha- huu utulivu ni raha.
Bado namiss tu😂😂😀, mna nisaidiaje wakuu🤣24 hivi
Nili ielewaga ile ya kwanza- tuView attachment 2879180
Mie nawacheki Hawa jamaa 😁😂😁🤣
Mnawah wapi? 24 disco ndio limekolea24 hivi
Mwembamba wa wastani ehh??😂😂 Na mm sitanii ujue
TumeachanaPole kipenz,sasa huyo si ajishughulishe...au kashikwa na usingizi?
😁🤣Mnawah wapi? 24 disco ndio limekolea
😁🤣🤣🤣🤣Nili ielewaga ile ya kwanza- tu
Kaka nipe hiyo connection, naikubali Sana hiyo kazi😀🤒01:36
Wale wanaoleta wapendwa wao walofariki nipo ofisini nawapokea.
leo mwendo wa kuwaogesha kabisa kabla ya kuingia kwa friji.
msiponipa hela ntakuwa nmejilipa maji