Pole my wanguNajihisi baridi kweli Leo....midomo imeganda aisee
Niko nasikiliza mziki mzuri, na feel more peace bro.View attachment 2879121
Karibu Mkuu tucheki boli hapa
Naskia baridi my😳kuna nini we?
Asante sana,familia imelala wewe upo machoPole my wangu
Kaka Leo got hauichekiNiko nasikiliza mziki mzuri, na feel more peace bro.
👉
Naangalia mpira hapa myAsante sana,familia imelala wewe upo macho
Anha,kumbe.Nawe huwa unabet kwani?Naangalia mpira hapa my
Ngoja niwashe pc hapa 🤣😂, sema Naeza kesha- huu utulivu ni raha.Kaka Leo got hauicheki
Pole kipenz,sasa huyo si ajishughulishe...au kashikwa na usingizi?Naskia baridi my
4001:02 wakuu kuoa kuanzia miaka mingapi??.
Basi acha niendelee na u single wangu, ila I feel amani kwa kweli🤒.