Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,369
- 96,654
02:56 🤒
Kwani ni lazima upike za nyanya? Siyapendii…Ngoja nifutie t- shirt tu🤣😂, sema kupika tambi za nyanya sio mchezo 😀
My mother ana juaga kuzi pika Zina kuwa Kama za ki Mexico hivo😂,Kwani ni lazima upike za nyanya? Siyapendii…
The moment umeniwekea nyanya kwenye tambi sili, ukiniwekea chumvi tupu sili.My mother ana juaga kuzi pika Zina kuwa Kama za ki Mexico hivo😂,
👉Niki pika Mimi would😀, uji 😂😀🤒
Hata ani shikie na bastola😀, sidhani ka nita jua😂.The moment umeniwekea nyanya kwenye tambi sili, ukiniwekea chumvi tupu sili.
Iwe ya Mexico ama Cameroon… kitu kikishanishinda at 1st uwa siwezi kirudia tena 😂😂😂
Sa skia, kaka na mama akupe ujuzi wake ndo next time usipike tambi boko boko
Wazee wa kukesha00:55 zindegi na milegi dobala![]()
Sio lazima uni quote Mimi, Afu useme upuuzi🤒Wazee wa kukesha
Madagascar Kuna kigodoro😂😀🤔pya nmetoka kwenda kwenye kigodoro uku uswahilini kwetu sio poa aisee 🤣🤣
npo tx toka tarehe 30 mkuu nmekuja kuinjoi life uswahilini raha sana aisee 🤣🤣Madagascar Kuna kigodoro😂😀🤔
small whichdoctorWe mganga mfupi fundi bishoo 🤣😂😀