Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 15,797
- 122,952
Muda hausogei kanisaHii si ya kukosa
Muda hausogei kanisaHii si ya kukosa
KabisaMuda hausogei kanisa
anaimba singeli au nini simuelewi,Umepigaje hapoo
🤣😁anaimba singeli au nini simuelewi,
mara nimsingie kwenye ngoma za wasukuma, mara singeli
Dj tu, haimbi yeye ni mabiti na mixer za nyimbo.anaimba singeli au nini simuelewi,
mara nimsikie kwenye ngoma za wasukuma, mara singeli
More love less ego, I mean no malice to nobodynipo mkuu.
nimemiss sana watu wa humu
Uongo umeanza lini ?12:09 AM
nimalizie hizi episode kadhaa nilale
kwa leo basi nilishadiliti historyUongo umeanza lini ?
Ulale wapi hapo unapasha mizuka ujilipue.
Mi za kwangu za Kikorea nimezikimbia, zinazidi tu kunoga nami nataka kulala 🥱12:09 AM
nimalizie hizi episode kadhaa nilale
Kila wakati!Mungu ni mwema sana