AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,885
- 8,483
Si ndiyooo wazee wa kijani na manjano tujipakulie minyama.Watu wa uchaguzi 😁
Si ndiyooo wazee wa kijani na manjano tujipakulie minyama.Watu wa uchaguzi 😁
Huu mwaka uishe tu sasa 😂Si ndiyooo wazee wa kijani na manjano tujipakulie minyama.
Likewise mlinziHappy new year walinzi wa jf
Bado siku 355 tu tuvumilie kidogo mkuu hii ya kwanza imeisha hivyo.🚮Huu mwaka uishe tu sasa 😂
siku 365Bado siku 355 tu tuvumilie kidogo mkuu hii ya kwanza imeisha hivyo.🚮
Yah 365 siyo mbaya tunazikata tu hata kwa Konyagi.siku 365
Ume nibloock nini?Ulikuwa wapi?
Kule unazingua Mkuu.... Umenifanya mdoli wako😜Ume nibloock nini?
Unatafuta kila mwaka Mkuu? Ifikie hatua muweze kuishi pekeyenuHuu ndiyo mwaka natarajia kuangaza angaza nipate mke mwema ambaye atanijali mimi mtoto wa mamkwe niwe na furaha kama alivyonikuta,ole wake aiharibu furaha yangu[emoji35]nitaungana na timu kataa ndoa.
Hakuna,nitafika tu😂😂😂Utaweza? Baridi kidogo tayari unasaliti malengo yako
Sasa wakiishi peke yao na nyinyi mtaishi na nani!Unatafuta kila mwaka Mkuu? Ifikie hatua muweze kuishi pekeyenu
Happy new year last born wa jf 😂happy new year Depoo wa kwa msola
Pekeyetu kama maria nyerere mjaneSasa wakiishi peke yao na nyinyi mtaishi na nani!
Mmmh si kweli, siko hivyoKule unazingua Mkuu.... Umenifanya mdoli wako😜
MmhPekeyetu kama maria nyerere mjane
Jambo mremboHappy new year last born wa jf 😂