Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,983
- 41,248
4:54
Unapenda tu kusumbua watu. Huyo unayetaka kummention si umpm 😅
Au niambie ni nani nikusaidie kwenda kumpa taarifa
Naomba nimfikishie salamu inbox kwake, we wala usipate tabu😂😂😂😂😂 ni wewe ndo unaniambia hayo maneno au wamekuhack
😂😂😂 sa Pm si nitasoma mm mwenyewe 🤣🤣Naomba nimfikishie salamu inbox kwake, we wala usipate tabu😂😂
Ukorofi wangu kwako hata haumiziAcha basi ukorofi kaka 😂😂😂
Natamani Niku tongoze Mara ya kumi, angalau uni katae 😍😍.Wangu mimi peke yangu ❤️❤️
Ulitakaje?😏12:08 AM
kimya sana
nilitaka binti mmoja anipe company😂Ulitakaje?😏
Wazazi wako wanajua kuwa umeacha shule umechagua mabinti?😠nilitaka binti mmoja anipe company😂
wazazi wangu walikutana wakiwa shule😂Wazazi wako wanajua kuwa umeacha shule umechagua mabinti?😠
😂😂😂wee,usiniambie?wazazi wangu walikutana wakiwa shule😂
bongo bahati mbaya😂😂😂wee,usiniambie?
Vp lakini,mambo yanaenda?bongo bahati mbaya