mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
si unajua tena, jiji letu lenye baridi....Vp lakini,mambo yanaenda?
si unajua tena, jiji letu lenye baridi....Vp lakini,mambo yanaenda?
Pole,komaa uepuke mengi...jikaze urudi home safe umfurahishe mzazi.Good luck.Sleep well❤si unajua tena, jiji letu lenye baridi....
Uko Mbeya?si unajua tena, jiji letu lenye baridi....
ndio mkuuUko Mbeya?
😂😂sana mwamba00:30 hivi sasa ni mda wa kupaa
hiyo muvi ushaicheki sio😂😂😂sana mwamba
Pambana kijana wangundio mkuu
😂😂😂nimeicheck aisee...mulemulee😝hiyo muvi ushaicheki sio😂
Wanashambuliana kwa zamuMliopo Gaza, tupeni mrejesho yanayofanyika huko
Hatari sana, sijui mwisho wao utakuwajeWanashambuliana kwa zamu