kepha_006
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 413
- 763
na kweli bado sijasemaBado hujasema[emoji14]...endelea kuwabembeleza
na kweli bado sijasemaBado hujasema[emoji14]...endelea kuwabembeleza
Pole bhanana kweli bado sijasema
Mi nilijenga kwa mama,ivo wapangaji anadeal nao mwenyewe....kodi hawamsumbui ila uchafu chooni ndiyo Mara nyingi naona wanamzingua.....Yangu sijajenga bado nimepanga japo kiwanja tayari.nshapoa ivi we ushawahi kukutana na kitu kama hii
Dahh pia hata mimi mara ya kwanza nilimpa mdogo wangu awe anakusanya kodi lakini nilikula za vichwa pesa ilikuwa haifiki kwanguMi nilijenga kwa mama,ivo wapangaji anadeal nao mwenyewe....kodi hawamsumbui ila uchafu chooni ndiyo Mara nyingi naona wanamzingua.....Yangu sijajenga bado nimepanga japo kiwanja tayari.
😂😂nimegundua una upole mwingi mkuu...jitahidi kukazaDahh pia hata mimi mara ya kwanza nilimpa mdogo wangu awe anakusanya kodi lakini nilikula za vichwa pesa ilikuwa haifiki kwangu
Daah iyo ni kweli asee[emoji23][emoji23]nimegundua una upole mwingi mkuu...jitahidi kukaza
Aisee!!nakupenda sana to yeye wangu
kwa nini kiongozi? au salary haijatoka?huu usiku leo ni mrefu sana kwangu
sina badomshamba_hachekwi muda wa kutulia na mrembo huu..
Si niliona una rusha ndoano hapa?sina bado
kakataaSi niliona una rusha ndoano hapa?
hakuna mkuukwa nini kiongozi? au salary haijatoka?