100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,788
- 30,930
mshamba_hachekwi muda wa kutulia na mrembo huu..
sina badomshamba_hachekwi muda wa kutulia na mrembo huu..
Si niliona una rusha ndoano hapa?sina bado
kakataaSi niliona una rusha ndoano hapa?
hakuna mkuukwa nini kiongozi? au salary haijatoka?
Kisa nini?kakataa
kisa mi mdogo kwakeKisa nini?
Aisee, pole sana sina cha kukusaidia, ungejitetea hata kwa ule mstari pendwa waa kuyakamata mashangazi 'age is just a number',kisa mi mdogo kwake
mishangazi mpaka ikupende haitongozekiAisee, pole sana sina cha kukusaidia, ungejitetea hata kwa ule mstari pendwa waa kuyakamata mashangazi 'age is just a number',
Aisee, utapata tu kijana...mishangazi mpaka ikupende haitongozeki
Mkuu wee hauna mshangazi unotaka kampan umpe kijana?Aisee, utapata tu kijana...
Nina mashangazi huyu kijana hayawezi, ni ile mishangazi vijana wengine wanayaita tandam, yani akiingia kwenye gari hadi gari inakwenda chini.Mkuu wee hauna mshangazi unotaka kampan umpe kijana?
triple decker hapana kwa kweliNina mashangazi huyu kijana hayawezi, ni ile mishangazi vijana wengine wanayaita tandam, yani akiingia kwenye gari hadi gari inakwenda chini.
Kijana hawezi. Yatamuua, atuachie sie...
Mkuu hayo hayana mambo mengi ndio mazuri.Nina mashangazi huyu kijana hayawezi, ni ile mishangazi vijana wengine wanayaita tandam, yani akiingia kwenye gari hadi gari inakwenda chini.
Kijana hawezi. Yatamuua, atuachie sie...
Zingatia sheriatriple decker hapana kwa kweli