Nitakutumia ramadhan mfugo.Ndiyo,napenda sana magimbi.
Nilikula mkate nikalala, nimeamka yaani njaa, hapa nasonga kaugali kadogo[emoji16]ndo mpaka upike saizi? kula mkate[emoji1787]
Magimbi ya wapi??Nitakutumia ramadhan mfugo.
Wewe unafunga au unarusha mpira?
Ngoja waje wanaotumia mkuuHivi huu mtandao wa airtel mnauelewa kweli?!
Mkoa gani?Shambani mkali
Wee unataka ya wapi?
KilimanjaroMkoa gani?
Airtel umekuwa mtandao wa hovyo sana....pamoja ana app ya jFNgoja waje wanaotumia mkuu
Legend huyoNipsey Hussle
Grinding all my life
Utanitumia,niyachemshage.Kilimanjaro
Bahati mbaya America kuminya trigger ni kugusa tuYeah mkali namkubali huyu jamaa.
Ni nembo ya hood
It easy to pull triggerBahati mbaya America kuminya trigger ni kugusa tu
Leo nilikuwa nasoma makala za tupac, jamaa hawana masihara aiseee...sijui sheria ya umiliki wa silaha wenzetu zikoje maana zimesambaa mitaaniIt easy to pull trigger
but it ain't easy to move ur mother out the hood.
Mkali aliuwa sana hii sentensi Meek Mill
Mkuu kama muuaji tu anapata dhamana kutoka mahakaniLeo nilikuwa nasoma makala za tupac, jamaa hawana masihara aiseee...sijui sheria ya umiliki wa silaha wenzetu zikoje maana zimesambaa mitaani
Maana yake mtaan kunakuwa na wahalifu wengiMkuu kama muuaji tu anapata dhamana kutoka mahakani
Unategemea hiyo nchi ipoje mkuu?