Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,662
- 7,251
Nini mkuuMwenye nyagi kubwa alete kuna mapicha picha apa siyaelewi 11:54
Nini mkuuMwenye nyagi kubwa alete kuna mapicha picha apa siyaelewi 11:54
Kama kawaida askali12:00 AM
ni usiku mwingine tena
Ulale ukue.12:00 AM
ni usiku mwingine tena
kidoti leo hujawahi kulalaUlale ukue.
naona uvivu kulalaKama kawaida askali
Kula kijiti mkuu asee mtafute saut ya 3 atuimbienaona uvivu kulala
Napika hapa,nililala nimeamka hivi.kidoti leo hujawahi kulala
Doti inakuwaje mkali?Napika hapa,nililala nimeamka hivi.
unapika saizi, na wewe ni bachela wa magetoni?😂Napika hapa,nililala nimeamka hivi.
shem niimbie basi, au leo uko sober?
Mimi ni mtoto wa mama[emoji23], njaaunapika saizi, na wewe ni bachela wa magetoni?[emoji23]
Shwari.Doti inakuwaje mkali?
Ni vipi jamaaHatimae kumekucha sasa.
Ndiyo,napenda sana magimbi.Lete mafekeche sasa mkali.
Vipi unakulaga magimbi?
Kama kawaida mkuuNi vipi jamaa
Amani itawaleKama kawaida mkuu
ndo mpaka upike saizi? kula mkate🤣Mimi ni mtoto wa mama[emoji23], njaa