JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usingizi umeenda wapi Jaman Embu uje maana Sasa huu ni ugonjwa kila siku mida ya saa tisa hadi kumi lazima usingizi ukate dah

Naombeni namna ya kuzuia hili jambo
Una mawazo...fanya mazoezi uwe unachoka
 
Back
Top Bottom