Dhul
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 767
- 790
Sawasawa kamanda tupo pamoja lindoNimechombeza tu mkuu
Usini mind lakin
Kila la heri mimi naimarisha ulinzi hapa
Sawasawa kamanda tupo pamoja lindoNimechombeza tu mkuu
Usini mind lakin
Kila la heri mimi naimarisha ulinzi hapa
Hapa panaitwa mtakuja wala huitwi na mtu0249
Mmenifanya mdau wa uzi wenu
😂0422
Stress hizi duh
Simu zinatusaidia sana imagine usingizi umeisha Huna la kufanya usiku kama uko Single ndo kabisa unahisi wachawi wanakuchora kitandani huchelewi kuwasha taa on.maana hata panya tu akipita gizani unasisimka...ila ndo inashauriwa pia kutumia simu gizani unaua macho....Madhara ya kulala saa 2… usingizi ushaisha
Usiache kufanya jogging ifikapo saa 12 asbh0440
Nimeziona hizo nyuzi kaattach video siifungui mpaka asubuhi asee huwezi jua usingizi ukanipitia maana najua tu lazima zinatishaKwanini lakini [emoji846] mambo ya wafu unafufua nyuzi usiku Mshana Jr