JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

National Anthem, mshamba_hachekwi
Screenshot_20230906-212211_2.jpg
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Usingizi kwangu sio starehe, Na kama Ukiona nimelala basi kichwa kinawaza mipango tu,

How Will I start my Day
 
Back
Top Bottom