Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Mie sitaki hata kuusikia...laana tupuAah, ule uzi nilikimbia mapema sana🤣🤣🤣
Mie sitaki hata kuusikia...laana tupuAah, ule uzi nilikimbia mapema sana🤣🤣🤣
Kumbe watu wanakulana kweli😂?Mie sitaki hata kuusikia...laana tupu
Kukulana siyo selfika tu....watu tunakulana humu ila shida tunatajwa na watu ambao hata hatujawahi onana😋Kumbe watu wanakulana kweli😂?
😂 aisee. Ila story inayoendelea imenisikitisha kama ni kweliKukulana siyo selfika tu....watu tunakulana humu ila shida tunatajwa na watu ambao hata hatujawahi onana😋
Waache,watajiju....maana hawawezi kukaa kimya ila wanaweza kujibishana......mtu mzima kimya ndo jibu tosha.... kujibishana kunashusha hadhi😂 aisee. Ila story inayoendelea imenisikitisha kama ni kweli
HaswaWaache,watajiju....maana hawawezi kukaa kimya ila wanaweza kujibishana......mtu mzima kimya ndo jibu tosha.... kujibishana kunashusha hadhi
Unakesha una fanya nini 😀 trudieAcha tuu kaka kuna muda nakesha mpaka najionea huruma mwenyewe yaani
Usilo lijua ni sawa na usiku wa Giza🤒Waache,watajiju....maana hawawezi kukaa kimya ila wanaweza kujibishana......mtu mzima kimya ndo jibu tosha.... kujibishana kunashusha hadhi
| I | mean | no | malice | Nobody | |
Sawa,ila kukaa kimya ni kitu kizuri mkuuUsilo lijua ni sawa na usiku wa Giza🤒
Michezo ya jf ni ya kiwaki Sana, hata huyo anaye jisemesha hapo juu ni kenge tu😀🤣😂😂Sawa,ila kukaa kimya ni kitu kizuri mkuu
Halafu wengi tulio macho ni wanaume hii inaashiria nini?
🤣🤣🤣 Kuogopa hakufai....mi nakuambia kilasiku...njoo tufanye kweli...wewe unaruka ruka tu🤒🙄Michezo ya jf ni ya kiwaki Sana, hata huyo anaye jisemesha hapo juu ni kenge tu😀🤣😂😂
mfanye nini 😳😳🤣🤣🤣 Kuogopa hakufai....mi nakuambia kilasiku...njoo tufanye kweli...wewe unaruka ruka tu🤒🙄
🤣🤣🤣Tulia wewe🤒mfanye nini 😳😳
😂🤣🤣🤣 Kuogopa hakufai....mi nakuambia kilasiku...njoo tufanye kweli...wewe unaruka ruka tu🤒🙄