Wewe utakuja kuwa mrogi,😂😀0323
Acha tuu kaka kuna muda nakesha mpaka najionea huruma mwenyewe yaaniWewe utakuja kuwa mrogi,![]()
Team kukesha2228 nimejongea lindoni mdogomdogo

Meza piriton 4 *2 tu boss usisahau kuleta mrejesho05:04 kumekucha aWakuu
baada ya wikiYaani hapa ni jichojicho lindoni Intelligent businessman upo Wavuvi camp au kitambaa cheupe??Team kukesha![]()
Duh Nika fanye nini 🤣😂🤒, sivuti sigara, Wala kunywa pombe😂Yaani hapa ni jichojicho lindoni Intelligent businessman upo Wavuvi camp au kitambaa cheupe??
🤣🤣🤣Intelligent businessman kwahiyo mafunzo umekacha kisa nimempea mwingine? Kaushare huwez?
Mbona namezaga, still hamna maajabu😂🤣🤣Meza piriton 4 *2 tu boss usisahau kuleta mrejeshobaada ya wiki
😘😘😘 sina usingizi dahNational Anthem ulale salama ndugu🙏