financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Safi sana, wengine ndiyo tunaelekea kibaruani now.Naam tupo kibaruani kusaka tonge
Safi sana, wengine ndiyo tunaelekea kibaruani now.Naam tupo kibaruani kusaka tonge
Siku hizi hasumbui analala, sema akiamka kunyonya saa 7 au 8 hadi amalize na mimi usingizi unakata kabisa mpaka niutafute saa zima au sipati kabisa hadi kunakucha.Saa tisa hujalala au ni mkesha mtoto anakusumbua dear?![]()
Siku hizi hasumbui analala, sema akiamka kunyonya saa 7 au 8 hadi amalize na mimi usingizi unakata kabisa mpaka niutafute saa zima au sipati kabisa hadi kunakucha.
Mdogo ana 4 months.Mtoto mkubwa au mtoto mdogo
Mdogo ana 4 months.
01:49 pimbi wewe🤣😂01:48
Unakataa kabisa😂😂😂01:49 pimbi wewe🤣😂
Nakataa nini 🤔🤣😂 ??Unakataa kabisa😂😂😂
UsingiziNakataa nini 🤔🤣😂 ??
Consider me as your pillow, and keep holding me🤗.Usingizi
As you wish😊Consider me as your pillow, and keep holding me🤗.
👉Close your eye, you will feel your attachments.
acha nyeto01:56 jicho kavuu na sikulala mchana