JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Saa tisa hujalala au ni mkesha mtoto anakusumbua dear?[emoji3]
Siku hizi hasumbui analala, sema akiamka kunyonya saa 7 au 8 hadi amalize na mimi usingizi unakata kabisa mpaka niutafute saa zima au sipati kabisa hadi kunakucha.
 
Back
Top Bottom