Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Tena unajua bby mti wenye miba haupigwi mawe.
Tunapigwa mawe sisi kisa penzi zito sweetie.
wanaume wachepukaji wana maneno matamu kuliko asali ( naogea na simu jamani,msininukuu vibaya)
Tena unajua bby mti wenye miba haupigwi mawe.
Tunapigwa mawe sisi kisa penzi zito sweetie.
Jipe moyo utayashinda.....Ndo maana nilikuwa nakusubir gun
Najua ulishasema nisikize ya watu

Ngoja nije kukatibu wakati unanifundishaSasa mnaanza kuniamshia ka ugonjwa kangu ka wivu....![]()
![]()

Kuvunjwa ni moja, tatizo kubwa ni haka ka android nilikopewa kama zawadi na manzi wangu kabla wajanja hawajanitaifisha. Wakati wazee wa intelijensia watakapoanza kutawanya watu, naogopa vibaka wasije kujificha kwangu, maana waliniona wakati na jf saa sita.
kumbe ka androd kenyewe kakupewa....wakijibinafsisha utasamehe kama ulivyosamehe waliomtaifisha huyo manzi wakoHaka ka ugonjwa hakatibiki asilani wamekashindwa akina Nleterwa Nganengo na Manga ML utakaweza wewe?Ngoja nije kukatibu wakati unanifundisha![]()
![]()
![]()
Afu utaionaje sasa! Maana entertainment pekee niliyobakiza hapa duniani ni kukutana na watu kama ninyi baada ya saa sita usiku. Ninahakika wakinitongoa hiki kidude na mimi naripoti kwa baba.![]()
![]()
![]()
kumbe ka androd kenyewe kakupewa....wakijibinafsisha utasamehe kama ulivyosamehe waliomtaifisha huyo manzi wako
Hmm

Haya kaendelee kumlaghai kwa maneno yako matamu zaidi ya asali.

Haaaa unaenda kufundishwa non?/mbona hujaniambia?Chochote nitafanya ila yule ndugu yangu inabidi umfukuze ili unifundishe kwa madoido yote nielewe mama.![]()
![]()
![]()
Walikashindwa coz hakakupata perfect match ya daktari sasa ndio daktari wa hako kaugonjwa hutojutaHaka ka ugonjwa hakatibiki asilani wamekashindwa akina Nleterwa Nganengo na Manga ML utakaweza wewe?
Teh tehHaya kaendelee kumlaghai kwa maneno yako matamu zaidi ya asali.
Mlale unono na kipenzi chako jje's....ila naomba leo uniote japo kidogo tu![]()
![]()
Kipenzi ndio nilikuwa nawahi kukupa info zote kabla ya kutafakari siku yetu kwa ujumla na usiku wake piaHaaaa unaenda kufundishwa non?/mbona hujaniambia?
Asante sana. Wacha kesho nikutafute pengine naweza malizia weekend yangu vizuriPanaitwa kwa Mdava.... Yhad karibu

Captain
Were wereTena unajua bby mti wenye miba haupigwi mawe.
Tunapigwa mawe sisi kisa penzi zito sweetie.
We chainizi, hebu tueleze kule fiestaHamjalala wa humu?
jje's ananifaham vizuri hata nikisema uongo anikamata mapema tu.Haya kaendelee kumlaghai kwa maneno yako matamu zaidi ya asali.
Mlale unono na kipenzi chako jje's....ila naomba leo uniote japo kidogo tu![]()
![]()