Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
Sideki, ila chakula unakula na maji yapo pembeni🥴. Ila ni mitamuaisee unajua kudeka🤣
Sideki, ila chakula unakula na maji yapo pembeni🥴. Ila ni mitamuaisee unajua kudeka🤣
Na mizizi ifanye nini 🤔, ili iache kuliwa na nyinyi😂😂😁tutafte hela tuache kula mizizi🤣
Kwani Tunao kesha, tuna Mambo kidogo au sio😂😂.nashindwa kukesha skuizi nina mambo mengi
besides, dahan hayupo lindo halinogi
Tunaomba uendelee kula mizizi, coz una ki under rate hicho chakula kipuuzi Sana😂😂italiwa na maskini waliobakia😂
Wakishua mna tabu😂😁😁Nimeacha, naona nashiba maji tu😂😂😂
Kafie mbelee😂😂😂
My coach mida hii SI ndo ya kunipa simple jogging 😁🤒Present japo for late
Boga la kichina wewe😂😁04:56
🤣🤣Kazi za watu watanifunga mieMy coach mida hii SI ndo ya kunipa simple jogging 😁🤒
na Dahan au .. au kateuliwa kuwa DC na hatujuiKafie mbelee😂😂😂
Kafie Banda la nguruwe😂😁😁,na Dahan au .. au kateuliwa kuwa DC na hatujui
Mimi sio wakishua ujueWakishua mna tabu😂😁😁
Kupika tu msalaaaa😁😂😂, mihogo Una toa Hadi machozi😁😂😂Mimi sio wakishua ujue
Jogging yetu private, my coach😁🤣🤣Kazi za watu watanifunga mie
Wewe😂. Kupika najua sanaKupika tu msalaaaa😁😂😂, mihogo Una toa Hadi machozi😁😂😂
basi To yeye 😉😉Kafie Banda la nguruwe😂😁😁,
Oooh,hapo sawa learner....tuanze bas chap!Jogging yetu private, my coach😁
😅😅😅 au nyie watu mmepiga mikwara mtoto wa watu kaona isiwe kesi au kakatazwa na nyie waja🤣🤣🤣🤣🤣🤭