Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Sio nilale lale🤣😂, ili nije Nile mchana tu😃😁 LenieJobless mwenzangu amka kumekucha🤭
Sio nilale lale🤣😂, ili nije Nile mchana tu😃😁 LenieJobless mwenzangu amka kumekucha🤭
Fanya hivyo, ili ukipika nije🤣😂Af kweli, daah kiherehere cha kuamka mapema kimeniponza.
Wacha nirudi kulala, nikiamka saa 9 nikila ndio hadi kesho hiyo
Nipike sina hata unga robo!Fanya hivyo, ili ukipika nije🤣😂
nimebaki lindo mwenyewe1.23
Nakula mihogo, inakaba😢leo umewahi kuamka😂
Nimeacha, naona nashiba maji tu😂😂😂unatakiwa uwe na chupa ya maji hapo pembeni😂