The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,959
- 117,333
✋
🤣🤣🤣mbunye itakuua mzee
Hii ndio inaumiza kichwa na akili. Na huo ubillionare bila kuwa na miziz katika ukoo ni ndoto ya alnature.pambana ukue billionaire[emoji23]
Pole sana mm nipo naongea nao hawa mbwa wangu hapaMwachiluwi mi ulinzi wangu ni huuView attachment 2688337
Uko nje ya nchi kwenu saa ngapi?
Mbona kama kuna ukungu hiviPole sana mm nipo naongea nao hawa mbwa wangu hapa
Ndio baridi si unajua uku nako kaa mzeeMbona kama kuna ukungu hivi
Pole sana mzee kupanga ni kuchagua ahahahah🤓🤓🤓Ndio baridi si unajua uku nako kaa mzee
Sasa mzee njoo unipe connection mapema leo nakupangaPole sana mzee kupanga ni kuchagua ahahahah🤓🤓🤓
Kesho nitalala vya kutosha aiseeVizuri.. afya ya akili ni kupata usingizi wa kutosha zingatia hilo [emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Kiduku hana masikhara yule atakula kichwa yuleHuo Muandiko Ni wa kikorea mkuu......kwa bwana kiduku.
Tupeane sote connection aiseeSasa mzee njoo unipe connection mapema leo nakupanga
🤓🤓🤓😂😂😂🙏😂😂Sasa mzee njoo unipe connection mapema leo nakupanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kichwa chakoNimekutana na video YouTube.
Kupika keki kwa kutumia Rice cooker.
Nimejichanganya.. Ndio nipo nakula ugali wangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Utaiweza mzeeTupeane sote connection aisee
Vitabu vya dini vinasemaKesho nitalala vya kutosha aisee
Nipo makini sana na usingizi
Ww sikia nilukie ewani hapa nikupange🤓🤓🤓😂😂😂🙏😂😂
Leo sipo poa nina mzigo hapa hata sijui naanzia wapi mkuu
Nachukuo iyo "isiku" [emoji23][emoji23]Vitabu vya dini vinasema
*""Ole wao waufanyao isiku kuwa mchana na mcha kuwa usiku"" [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo Muandiko nimeusomea korea Kaskazini.Kiduku hana masikhara yule atakula kichwa yule
Kuuza sembe?Utaiweza mzee