mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
usiamini youtube mzee😂Nimekutana na video YouTube.
Kupika keki kwa kutumia Roce cooker.
Nimejichanganya.. Ndio nipo nakula ugali wangu 😭😭😭😭😭
usiamini youtube mzee😂Nimekutana na video YouTube.
Kupika keki kwa kutumia Roce cooker.
Nimejichanganya.. Ndio nipo nakula ugali wangu 😭😭😭😭😭
Mzee sio kila kitu chakujaribuNimekutana na video YouTube.
Kupika keki kwa kutumia Roce cooker.
Nimejichanganya.. Ndio nipo nakula ugali wangu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nina usikunmrefu leo 😂😂😂Mzee sio kila kitu chakujaribu
acha tu, ajali 🥲usiamini youtube mzee😂
Pop corn zikwapi Sasa?12:00 AM
mshamba leo nakesha
View attachment 2688302
Ms eyes To yeye Dahan Joannah Half american tuchangamshe lindo.....
[emoji897][emoji897][emoji897][emoji897][emoji897]Pop corn zikwapi Sasa?
sio lazima bana, ni anasa😂Pop corn zikwapi Sasa?
Asante😌[emoji897][emoji897][emoji897][emoji897][emoji897]
kwema mzeeDaah long time sana sijapita hapa,hamjambo walinzi
KaribuAsante[emoji18]
Unaona Sasa matokeo ya ubahili,unakuwa bahili Hadi Kwa we mwenyewe 😁sio lazima bana, ni anasa😂
Kwema kabisa mkuukwema mzee
Anataka kuwa tajiri,maana matajiri wote ni wabahili acha atimize ndoto 😀😀Unaona Sasa matokeo ya ubahili,unakuwa bahili Hadi Kwa we mwenyewe 😁
Sheria mpya ukifika hapa lazima update kibali Cha utambulisho kutoka Kwa mkuu wa lindo constebo mshamba_hachekwiDaah long time sana sijapita hapa,hamjambo walinzi