Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,387
- 95,838
Hujalala bintiNadhan
Hujalala bintiNadhan
NakusalimiaHongera sana tule ubwabwa sasa, mbona nitakuja huko.
MmmhChizi karogwa tena 😂😂😂😂😂 bado wawewesekaga? Huwa simuachi mtu salama 🤣🤣🤣🤣
Naona wakubwa wako ktk maongezi, nikojoe nirudi kulalaWow wow siyo mdogo wangu Dahan kweli? Mbona sifa zote zinamdondoke. Nimefurahi rafiki umepata tulizo la moyo wako 🙏
Umemisika, salamu nimeipokea mtu chakeNakusalimia
Nipo Rafiki ,nakumiss pia,naona mko ktk maongezi kdgUmemisika, salamu nimeipokea mtu chake
Hongera saanaHamna usingizi kabisa
Haiwezekan😲Nafunga mageti wote mlale