myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Sawasawa mkuu..Hapa kwema kabisa mkuu
Usisahau kuselfika
Uwaamshe na jirani zako waselfike
Sawasawa mkuu..Hapa kwema kabisa mkuu
Usisahau kuselfika
Uwaamshe na jirani zako waselfike
🤣🤣🤣🤣Tangu nimeamka nmekua wakufanya maombi na kuingia huku nicheke sasa usingizi umekata kabisa mimacho mikavuNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
😎😎🤣Hivi kwerUkiona ikifika kuanzia saa 8 usingizi unakata, ujue Mungu anakuamsha ufanye ibada.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
KaribuuHodi [emoji109]
mnaamkaga usiku kuombaaa03:03
unalala mapemaa04:01..
Nadhanmnaamkaga usiku kuombaaa
Sana, intelligence man yuko wapi jamaniah kmmk
lindo limepoa skuizi