Inaendele
Basi baada ya kuchekelea yale maji nilimmwagia kutoka kwenye kidumu, nikaliona cheko lake na tabasamu bashabasha nikaanza kutomasa tomasa kunako mikono na miguu yake nipate pozi si akaishiwa pumzi kwa mshtuko wa ndani ghafla akazima, nikapima mapigo ya moyo nikaona bado yupo hai,
Nikaondoa nguo zote nami nikaondoa zangu ili nimpe joto na kumuongezea pumzi mdomoni huku nikiminyaminya eneo la kifua (hii ni huduma ya kwanza kwa mtu aliekunywa vikombe baharini watu wa msalaba mwekundu wanajua), basi ghafla akaamka na kudondosha km lita 2 za maji kutoka mdomoni kwake
Itaendelea...
404: Page Not Found