mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
karibu mzee😂Kumbe dogo upo MUST 🤓🤓🤓🤓
karibu mzee😂Kumbe dogo upo MUST 🤓🤓🤓🤓
Komaaa dogo.....karibu mzee😂
aisee....Komaaa dogo.....
Nimesoma hapo inyala primary miaka hiyo
Aaaaah ikuti...aisee....
mi niko maeneo ya ikuti sokoni hapa😂
vipi leo baridi inapenya haipenyi??Jamani nipo kadeghe hapa msinisahau mieee😀😀😀😀
Nam nimekuja mkuuu
Kama kawaa 😨😨😨😨😨😨vipi leo baridi inapenya haipenyi??
Njoo nina jotoo kinomaaa 🤭🤭🤭Kama kawaa 😨😨😨😨😨😨
Wewe tupe id yake io ingine sisi tutajua cha kufanya😂😂😂😂😂Jameni humu Intelligent businessman anawasalimu sana tena sana
Anasema amesahau password ya kuingia jf..
Salamu hizo ziwafikie Dahan na mshamba_hachekwi
Atojihusisha na mitandao kwa sasa🙏🙏🤓Wewe tupe id yake io ingine sisi tutajua cha kufanya😂😂😂😂😂
Mnhhhuuu naijua ioooo😀😀😀😀😀Atojihusisha na mitandao kwa sasa🙏🙏🤓
Kweli tena..Mnhhhuuu naijua ioooo😀😀😀😀😀
Hadi hapo kesha jihusisha... Mwambie aendelee kufocus kuchimba chumvi😂😂😂😂😂 😂Kweli tena..
Kasema hivo.. au wee utaki
Ndio hivo now tunachimba chumvi...Hadi hapo kesha jihusisha... Mwambie aendelee kufocus kuchimba chumvi😂😂😂😂😂 😂
Aaahh weeehh sio kwel😀😀😀😀Ndio hivo now tunachimba chumvi...
Mii pia nachimba hizo hozo🤓
🤭🤭🤭🤭Aaahh weeehh sio kwel😀😀😀😀
Kweli tena...Aaahh weeehh sio kwel😀😀😀😀