Ngulii
Senior Member
- Jun 15, 2023
- 127
- 203
Hahahahaha, safi sanaNdiyo🤣🤣🤣
Hahahahaha, safi sanaNdiyo🤣🤣🤣
Sera zetu 👉 Panga mkononi
Ona pimbi hi🤔, badala ya kuwaza tutaiba wapi??, We una waza mapenzi🤣😂Dahan yuko wapi kwanzaaa.. nime miss
😅😅😅😅 jamaa wanapitsha makomeooBro vipi hapo, id yangu imefungiwa asee 😅
😅😅😅 Tujipange kuiba kontena za DP Wordl tuOna pimbi hi🤔, badala ya kuwaza tutaiba wapi??, We una waza mapenzi🤣😂
Duuh acha tu ule uzi nilijua tu hutoniacha salama asee 🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅 jamaa wanapitsha makomeoo
😅😅😅 dah! life time tenaa.. walikuwa na kisa na wewe nini ... au umepita na mzigo wa modDuuh acha tu ule uzi nilijua tu hutoniacha salama asee 🤣🤣🤣🤣
Tena ni lifetime sasa
Mambo ya giza hatuyataki 🤣🤣🤣🤭oya msichati saizi, uzi ni wa usiku!!
Walishajua zile id zangu zingine inavyoonesha 🤣🤣🤣,😅😅😅 dah! life time tenaa.. walikuwa na kisa na wewe nini ... au umepita na mzigo wa mod
Sio wote tupo manzese kwa mfuga mbwa, wengine tupo ma mbali huku ndio usiku wa manane 😊😊Mambo ya giza hatuyataki 🤣🤣🤣🤭
🤣🤣🤣Hivi tupo wapi vilee 🤭Sio wote tupo manzese kwa mfuga mbwa, wengine tupo ma mbali huku ndio usiku wa manane 😊😊
😐😐 dah! sema kuna mambo ya kiwaki kweli kweli.. uendeshaji wa ki darasa la tatu A.. monta unakuta mnoko kishenziWalishajua zile id zangu zingine inavyoonesha 🤣🤣🤣,
Kama mie walivyobann lifetime I'd ya Beesmom☹️Walishajua zile id zangu zingine inavyoonesha 🤣🤣🤣,
Kuna kipindi walikupiga ban nilifurahi kweli🤒😐😐 dah! sema kuna mambo ya kiwaki kweli kweli.. uendeshaji wa ki darasa la tatu A.. monta unakuta mnoko kishenzi
😅😅 wasijue , wanga wengi humu🤣🤣🤣Hivi tupo wapi vilee 🤭
🤣🤣🤣🤭Sawa😅😅 wasijue , wanga wengi humu
wataanza kuomba kuagiza waletewe vitu 😅😅🤣🤣🤣🤭Sawa
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka Kwa sauti kweli🙌wataanza kuomba kuagiza waletewe vitu 😅😅
Uchoyo Umeanza lini kwani?🤣🤣wataanza kuomba kuagiza waletewe vitu 😅😅