Hahaha nimemuona National AnthemWe boya umerudi😂🤣, Mzee wa kupambania, Dahan, Mwachiluwi, Analyse, mshamba_hachekwi hi pimbi imerejea🤔😀😀
siwezi kwasababu huyu mtoto namuheshimuUkimpigia chaputa ndoto zinakata hakusumbui
Asante sana 😘
Safi kabisa,ulilala nini?Poa,vp
NdiyoSafi kabisa,ulilala nini?
Waoh,ulilala kwa mzee babaSikulala kwangu Leo mkuu
Ndiyo🤣🤣🤣Waoh,ulilala kwa mzee baba
DahNdiyo🤣🤣🤣
Hahahahaha, safi sanaNdiyo🤣🤣🤣
Sera zetu 👉 Panga mkononi
Ona pimbi hi🤔, badala ya kuwaza tutaiba wapi??, We una waza mapenzi🤣😂Dahan yuko wapi kwanzaaa.. nime miss
😅😅😅😅 jamaa wanapitsha makomeooBro vipi hapo, id yangu imefungiwa asee 😅
😅😅😅 Tujipange kuiba kontena za DP Wordl tuOna pimbi hi🤔, badala ya kuwaza tutaiba wapi??, We una waza mapenzi🤣😂