sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,237
Vipi leo haupo lindo?Usiku wa manane ukiwa wapi mkuu.. Huku kwetu ni usiku sasa😀😀😀
Vipi leo haupo lindo?Usiku wa manane ukiwa wapi mkuu.. Huku kwetu ni usiku sasa😀😀😀
Leo sipo mkuu😀😀😀Vipi leo haupo lindo?
Mlimani wapi mkuu Mohamedex121Let take over the game lindoni pande za mlimani
Mlimani city mjengo nikiwa na vazi la mambo jkt na buti la jejeMlimani wapi mkuu Mohamedex121
Nipo karibu na ATM ya NMB ni mbu tu wanasumbuaMlimani wapi mkuu Mohamedex121
Nakubali Mzee wa Lindo, Anga za ucku ucku.Mlimani city mjengo nikiwa na vazi la mambo jkt na buti la jeje
Ndio utafutaji wetu huu mkuu. Sema nini majambazi wakija na pistol &AK 47 zao sijui itakuwaje?? Maana nina rungu tu apa na nipo pekee yangu shiftNakubali Mzee wa Lindo, Anga za ucku ucku.
Aaah kuwa makini vibaka ndio time yao hii asa apo africanaMe Niko Kariakoo, mtaa wa Congo, nataka niingie gogle map nikapaone Apo wanapopaita Africana
Ndo nawataka hao hao, nataka nilipize kisasi kwa ao jamaa.Aaah kuwa makini vibaka ndio time yao hii asa apo africana
Dah hio ni risk sana mkuu naweza kupoteza kaziWakuu hawajawi feli. Sema Nini, Jifunike blanket ulale usione yatakayotokea, utanishukur mkuu
Uko mwenyewe au na team???Ndo nawataka hao hao, nataka nilipize kisasi kwa ao jamaa.
Kweli mkuu. Sema Apo mliman city naskia wa2 hawalalagi Kama JamiiForum usiku wa mananeDah hio ni risk sana mkuu naweza kupoteza kazi
Team ya mtu 2 Lindoni.Uko mwenyewe au na team???
Ndio mkuu sametimes huku ni vigumu kuwatambua vibaka wakitaka kuiba maana wanajichanganya na raia hivo mda wote uwe macho hasa hizi weekend mkuuKweli mkuu. Sema Apo mliman city naskia wa2 hawalalagi Kama JamiiForum usiku wa manane