Mkubwa hivo bado unaogopa Movie?Nimetoka kucheck movie ya kutisha uoga umeniingia nimeshindwa kulala nikasema ngoja niweke cartoon ili mawazo ya kwenye hii niliyotoka kucheck now yapungue nilala
Pole sana, wenzio wana act wewe unaogopa for real😂😂😂Nimetoka kucheck movie ya kutisha uoga umeniingia nimeshindwa kulala nikasema ngoja niweke cartoon ili mawazo ya kwenye hii niliyotoka kucheck now yapungue nilala
Amna mkuu sema nimeanza kupanga chumba maisha ya kuishi mwenyewe bado sijayazoeaMkubwa hivo bado unaogopa Movie?
Jikaze dogo utapakatwa😃Nimetoka kucheck movie ya kutisha uoga umeniingia nimeshindwa kulala nikasema ngoja niweke cartoon ili mawazo ya kwenye hii niliyotoka kucheck now yapungue nilala
Amna mkuu hizi movi za hollywood sametimes zinakuwa kama kweli hivi alafu ukichanganya na uupweke room ndio balaaPole sana, wenzio wana act wewe unaogopa for real![]()
Uhuhuh duh umechelewa sana Vuta jiko kama vipiAmna mkuu sema nimeanza kupanga chumba maisha ya kuishi mwenyewe bado sijayazoea
Haahahh io ni movie tu bado popobawa😂😂😂😂😂 polee sanaAmna mkuu hizi movi za hollywood sametimes zinakuwa kama kweli hivi alafu ukichanganya na uupweke room ndio balaa
Sawa kaka ngoja nijikaze nilale ila naombea tanesco wasije zima umeme nikalala na giza maana apa naitegemea taaJikaze dogo utapakatwa![]()
Wewe ni me eu ke? Be serious kidogo😂😂😂Sawa kaka ngoja nijikaze nilale ila naombea tanesco wasije zima umeme nikalala na giza maana apa naitegemea taa
Tatizo uchumi mkuu hauruhusu umri huu bado niko masomoniUhuhuh duh umechelewa sana Vuta jiko kama vipi
Me ni mwanaume kakaWewe ni me eu ke? Be serious kidogo![]()
Sa mwanaume anaogopa giza? 😂😂😂😂😂 Porini utakaa kwel wewe au basi mshamba_hachekwiMe ni mwanaume kaka
kwa ulivojieleza mpaka sasa bila shaka we first year.... yatapitaSawa kaka ngoja nijikaze nilale ila naombea tanesco wasije zima umeme nikalala na giza maana apa naitegemea taa