Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,698
Dah we ili ikupe usingizi wakat mdgo wko inamkesheshaMovie gn io dogo, nasie tuangalie labda tutapata usingz😂😂😂
Dah we ili ikupe usingizi wakat mdgo wko inamkesheshaMovie gn io dogo, nasie tuangalie labda tutapata usingz😂😂😂
unaona sasa.... you're limiting your potential magonjwa yapo ni wewe kujikingaOk Sawa but vipi magonjwa ya zinaa?? Inabidi niwe makini sanayou
mi mbona sina pesa.... wadada nao wana upwiru bana😂Anayo pesa lakin au ndio....tru lavu 😂😂😂😂
Hawez kuwa serious dogo😂😂😂mi nataka izo amsha amsha zake ili nikiogopa nijifunike usingizi ukuje😂😂😂Dah we ili ikupe usingizi wakat mdgo wko inamkeshesha
Kuwa mvumilivu wakati unaendelea kupanda mnazi na mkono mmojaPesa sina mkuu but true love ipo
achana na hii kitu mkuu, mpende mama yako tu!!true love
Yeap kweli, just levels baby✌mi mbona sina pesa.... wadada nao wana upwiru bana😂
Infinity pool na consecration mkuuDah we ili ikupe usingizi wakat mdgo wko inamkeshesha
Karibisha Mwanachuo mmoja hapo umuokoe na kunguni wa hostel wewe utaghalimikia kodi tu kama ukiwa single kisha gharama zingine za maisha mtashareTatizo uchumi mkuu hauruhusu umri huu bado niko masomoni
Najua mkuu sikuhizi hakuna mapenzi ya kweli bila hela asa huku chuo wanawake watakupenda ukiwa nazo wenzangu na mimi tunamua kuwa wanachama hai wa chaputaachana na hii kitu mkuu, mpende mama yako tu!!
true... sema akianza kuwaza hivi atakua domozege, overthinking everything....just levels baby✌
Ndio ivo mkuu tumeamua kuwa wanachama hai wa chaputaKuwa mvumilivu wakati unaendelea kupanda mnazi na mkono mmoja
tumejazana humu wenye sononaNazunguka humu nikidhani watu wamelala kumbe mpo macho!
Naam kujikinga muhimu lakini pia hivi kuna ulazima gani wakuanza ngono ukiwa na umri mdogo? Si bora nibaki single tu maana sametimes ngono huwa inakuja na mikosi na laanaunaona sasa.... you're limiting your potential magonjwa yapo ni wewe kujikinga
una kitu bro, utafika mbaliNaam kujikinga muhimu lakini pia hivi kuna ulazima gani wakuanza ngono ukiwa na umri mdogo? Si bora nibaki single tu maana sametimes ngono huwa inakuja na mikosi na laana
Yeah sonona is realtumejazana humu wenye sonona