Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Aisee😂😂😂, sielewiiWeee unavoona upo huru kijana 😂😂😂😂
Aisee😂😂😂, sielewiiWeee unavoona upo huru kijana 😂😂😂😂
haha sijakuelewa🤣Una lima nini mkuu🤔,
Nauliza uko kijijini, umeenda kulima ???haha sijakuelewa🤣
haujambo??01:17 lindoni rasmi
Sijambo, naona lindo limeshamiri amekosekana Intelligent businessman sijui yupo Mlimani City anaheinkenika tuuuhaujambo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole1.19 kuna limtu limeniamsha mxiuuuuuu
anaogopa kujitokeza alikataa kuchanga zawadi ya birthday😂Sijambo, naona lindo limeshamiri amekosekana Intelligent businessman sijui yupo Mlimani City anaheinkenika tuuu
Asante hapa napambana nilale tena kivumbi naweza toboa mpaka saa 11 [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole
We mwache na yeye nitatia mgomo kwenye birthday yake sitampa zawadi kabisaanaogopa kujitokeza alikataa kuchanga zawadi ya birthday[emoji23]
Ndio ubaya wa usingizi ukishaamka kuupata tena mtihani, mimi nilikuwa nasinzia kabisa sitting room kitendo cha kuhamia chumbani usingizi umekata kabisa.Asante hapa napambana nilale tena kivumbi naweza toboa mpaka saa 11 [emoji1787][emoji1787]
jichue kimoja tu usingizi utakuja😂Asante hapa napambana nilale tena kivumbi naweza toboa mpaka saa 11 [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sina mood hiyo leo Kiongozi mzigo niliushusha juzijichue kimoja tu usingizi utakuja[emoji23]
Mimi ndo maana uwa nazima Simu usiku huyu kaniotoea kwenye simu nyingine sikuizima nilikuwa nimeshalala toka saa mbili alafu kapiga anauliza Niko wapi [emoji1787]Ndio ubaya wa usingizi ukishaamka kuupata tena mtihani, mimi nilikuwa nasinzia kabisa sitting room kitendo cha kuhamia chumbani usingizi umekata kabisa.