Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,120
- 111,788
Kula nyama, nyamaaaza 😂Nyama nyingiii ugali kidogo
Kula nyama, nyamaaaza 😂Nyama nyingiii ugali kidogo
Ndo hivo utajua tuu...Hahah wananikuza mimi under 18
ngoja nilale kabisaKula nyama, nyamaaaza 😂
Hahaaaha unyama ni mwingi
wewe ni muhuni tayari😂Nyama nyingiii ugali kidogo
Nimefurahi kusikia hilo, 😆😆😆Yaani itakua ni matatizo ya akili, mie na kucheka tena😂😂😂.. Sisi wazima kabisa
Half american unafundisha watoto under 18 humu mambo bad bad....Jiite mwenyewe sasa 😂😂
Hapanaa😂😂 kajaribu uone wanavopumua na kutoa hewa ya motrooo😂😂😂😂
Wazimaa kipenz👌Nimefurahi kusikia hilo, 😆😆😆
Mimi pia mzima huku 😃😃😃, vifaranga vyangu je? 😎☺️☺️
Khaaa na wewe ni wale wale alaaaaah 😂😂😂😂😂😂Hahaaaha unyama ni mwingi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Navocheka sasa kama naelewa vile...Hapanaa😂😂 kajaribu uone wanavopumua na kutoa hewa ya motrooo😂😂😂😂
Uliyoyaona hapa yaishie hapa hapa. We lalangoja nilale kabisa
Hahahaa mmoja mmoja anaitwa "toto bad"Khaaa na wewe ni wale wale alaaaaah 😂😂😂😂😂😂
Mbona umesema mambo ya unyama mwingi ety...
Ndo upoje huo unyama ahhahahah hovyo sana watoto wa daslamu nyie
Watoto bad
NitayaotaUliyoyaona hapa yaishie hapa hapa. We lala
Nakanusha matusi huwa yanafanywa hayafundishwi.Half american unafundisha watoto under 18 humu mambo bad bad....
Sasa kama huyu masai dada jamni daah sijapenda kabisa
Nilikua nakutetea kumbe hakuna kazi hapa 😂😂😂😂😂😂😂Hahahaa mmoja mmoja anaitwa "toto bad"
Ukiyaota ndio vizuri morning Glory itafana Sana.Nitayaota
Tafuta pisi mzeehili baridi la mbeya 14°C sio mchezo😬
Sawasawa auntiee, mi nipo nipo tu sijaoga kwanzia j5 nanuka vibaya, nasikiliza amapiano tu, 😆Wazimaa kipenz👌