Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Au sio unyama mwingi mtu mbadi😂😂😂😂Rejea comment 😂
Au sio unyama mwingi mtu mbadi😂😂😂😂Rejea comment 😂
Kwan ukiziba pua unapumulia nini 😂😂😂😂😂... Mbona unauliza vumbi stoo mzee😕😕😕😕Hapana nataka nisikie ulivokua unamfundisha dogo pale 😂😂😂😂
Makini sana mkulungwaAu sio unyama mwingi mtu mbadi😂😂😂😂
Mi wananifundisha matusiKumbe ikifika mida kama hii mnaongeaga mambo ya ajabu ajabu 😂😂😂🙏
hii timu ya
To yeye
Half american (kiongozi)
Dahan
mshamba_hachekwi (kanafata mkumbo)
masai dada (chipukizi)
Vijana wa daslam hovyo kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ngoja waje wale wa no malice..... Sijui nao hovyo waki ongozwa na Intelligent businessman
😂😂😂Sasa we kajaribu shauri yako😂😂😂😂Au sio unyama mwingi mtu mbadi😂😂😂😂
Dahan mtubadi nimeelewa hapo maunyama yani...😂😂😂Kwan ukiziba pua unapumulia nini 😂😂😂😂😂... Mbona unauliza vumbi stoo mzee😕😕😕😕
Chipukizi ambaye unnakuja kwa kasi ya unyama 😂😂😂😂Mi wananifundisha matusi
Poa sana 😂😂😂Auntiee nimefika za weeknd 😘😁
Kama lipi umefundishika ?Mi wananifundisha matusi
Majina gani sasa hayo 😂😂😂😂😂😂Makini sana mkulungwa
Hahah wananikuza mimi under 18Chipukizi ambaye unnakuja kwa kasi ya unyama 😂😂😂😂
Unavyopenda kucheka sasa 😊😊, u buheri wa afya na hii baridi 🥶🥶🥶🥶Poa sana 😂😂😂
Jiite mwenyewe sasa 😂😂Majina gani sasa hayo 😂😂😂😂😂😂
Mbona hilo limekaa vibaya mi natka lile lile (unyama mwingi mtu mbadi)
Jamani mbona hakuna matusi 😲😲Mi wananifundisha matusi
Nyama nyingiii ugali kidogoKama lipi umefundishika ?
Nikajaribu kutafuta vumbi stoo...😂😂😂Sasa we kajaribu shauri yako😂😂😂😂
🙄😑 Huu ni uongo bhanaHahah wananikuza mimi under 18
Yaani itakua ni matatizo ya akili, mie na kucheka tena😂😂😂.. Sisi wazima kabisaUnavyopenda kucheka sasa 😊😊, u buheri wa afya na hii baridi 🥶🥶🥶🥶