Always and forever my luv.I mic u every second bby
Come closer darln
Zikikosekana atakuwa hoi mkuu
Hata kutype hapa itakuwa shida
mbona wanaokosa nguvu za upande wa pili wanasongesha life vizuri tu?Mmmhhhnilikua sipati usingizi lakini namwota
Hahaha vitu vingine sio vya kuandika hapa, mengi nitamwandikia kwenye baruaMbona hujamwambia kuwa hujala Siku 3 kisa kummiss?![]()
![]()

I trust you hunAlways and forever my luv.
Nami nilitesa mamii kuwa mbali hivyo ila nitapita tena kukusalimia nisamehe tenaKwanini uliamua kuutesa mtima wangu kwa kupotelea mbali na upeo wa macho yangu?
Sio yako peke yako bali na nduguyo wa damu unayesafiri naye kwa miguu.![]()
![]()

Usinicheke best, hilo tatizo linanisumbua sana na mbaya zaidi sina wa kunirogoa maana aliyeniroga ameshakufaNimecheka kwa nguvu jomon

Hunter nakuona nakuona.Hahaha vitu vingine sio vya kuandika hapa, mengi nitamwandikia kwenye barua![]()
Yap linasongawanaokosa nguvu za upande wa pili
Poles dear ila kakuloga pazuriUsinicheke best, hilo tatizo linanisumbua sana na mbaya zaidi sina wa kunirogoa maana aliyeniroga ameshakufa![]()
![]()
![]()
Your signature.....Heko mkuu0118