Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Hata mi natania mbonautani tu bro usichukulie serious, ila pesa kweli ni factor 😂
mshamba_hachekwi na Poor Brain
Hata mi natania mbonautani tu bro usichukulie serious, ila pesa kweli ni factor 😂
😂😂😂😂😂😂 Sa hivi hatutafuti pesa ila tunazitegea...Tutafute pesa, ili tuishi maisha ya mipango na ndoto zetu💪💪
Bro Yule manzi ni 🔥🔥🔥, ningewawekea pics. Sema haitakuwa ustaarabu🤗🤗😂😂😂😂😂😂😂 Sina neno hapo...
Sema najua haupo serious na kile unacho kifanya just jokes tuu siku ziende au uwongo mkuu
Ahahahahahahhah bana buana buana weeeh..Bro Yule manzi ni 🔥🔥🔥, ningewawekea pics. Sema haitakuwa ustaarabu🤗🤗
Acha kutoa code, ni best angu mwarabu, sijui msomaliAhahahahahahhah bana buana buana weeeh..
Na picha kumbe unazo
Watu woteee aaaaahhhhhhh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha kutoa code, ni best angu mwarabu, sijui msomali
Mkuu Kuna Jamaa jana, na yeye ana mfahamu SI akaanza kusema. Kaangalie mwanzoniWatu woteee aaaaahhhhhhh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata mimi pia namfahamu mkuu..Mkuu Kuna Jamaa jana, na yeye ana mfahamu SI akaanza kusema. Kaangalie mwanzoni
Ni superrrrHata mimi pia namfahamu mkuu..
I know her before you😂😂😂
Ni super € Kawaida...😂😂😂🤓🤓🤓🤓Ni superrrr
Inategemea upo nchi gani mkuuKhaaa ndio kusema usiku wa manane siku hizi unaanza saa moja?
Kama upo Tz ...Lindo limeanza mapema
Huku Pakistan ni saa tatu usikuKhaaa ndio kusema usiku wa manane siku hizi unaanza saa moja?
Sipo TzKama upo Tz ...
Sasa kuhusu lindo inategemea upo sehemu gani... Usiseme lindo limeanza mapema wakati huo kuna wengine mda huu ni usiku wa manane mkuuSipo Tz
Ni kweli kama huku Pakistan ni saa nne kasoro, kwahiyo kwa upande wangu ni mapemaSasa kuhusu lindo inategemea upo sehemu gani... Usiseme lindo limeanza mapema wakati huo kuna wengine mda huu ni usiku wa manane mkuu
Kwa kweli 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Ni kweli kama huku Pakistan ni saa nne kasoro, kwahiyo kwa upande wangu ni mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji599]Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Eeeh hapa tunasema chuma kwa chuma.. cheche [emoji23][emoji23][emoji23]