JamiiForums Usiku wa manane
Nipo pale.....,😂😂😂😂😂
Mkuu sio una anzisha nyuzi, Kama una tangaza mazishi dogo😂😂.
👉Zoeana na mtu kwanza, attitude na approach ziendane
👉Jana mi ilikuwa Kama naangusha mbuyu kwa kidole mshamba_hachekwi 😂😂. Na tumekucheka Sasa😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 Sina neno hapo...
Sema najua haupo serious na kile unacho kifanya just jokes tuu siku ziende au uwongo mkuu
 
Back
Top Bottom