Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
Vijana na siyo watoto.....Kuna mmama anaweza date na under 21 labda?sasa mbona vijana wanatembea na wamama 😂
Vijana na siyo watoto.....Kuna mmama anaweza date na under 21 labda?sasa mbona vijana wanatembea na wamama 😂
Pamoja sana kamandaNiko poa Sanaa,🖐🏿🖐🏿
kabisa, hawa vijana kwanzia 16 waliomaliza form 4 wahuni sanaVijana na siyo watoto.....Kuna mmama anaweza date na under 21 labda?
Hii movie ninaiangalia ndio imenichanganya kkkkAvatar yako upo seriously sana bro....daah😔
🤣🤣🤣🤣Nao wanapeleka moto? Mi nasikizia tu vinapigaga nyeto Kwa wingikabisa, hawa vijana kwanzia 16 waliomaliza form 4 wahuni sana
Am good sister, nikija Green City nitasimama Makasini nikupe hiOffshore Seamen see you friend! How do you do bro?
🤣🤣🤣Kuna mwingine kasema muda wa kuvusha housegal🤒Muda huu ndio wa kwenda kutega samaki Pwani
wapo kina dronedrake ila wapo wahuni sasa 😂🤣🤣🤣🤣Nao wanapeleka moto? Mi nasikizia tu vinapigaga nyeto Kwa wingi
Oo woow! Karibu sana aiseeAm good sister, nikija Green City nitasimama Makasini nikupe hi
🤣🤣🤣🤣 Hivi kumbe nae ni chalii tu🤗wapo kina dronedrake ila wapo wahuni sasa 😂
KKKK hili cheko la wazambian🤣🤣🤣😉Hii movie ninaiangalia ndio imenichanganya kkkk
Nalog off
sijasema ni chalii....😂 ila wapiga nyeto wanaanza wakiwa machalii🤣🤣🤣🤣 Hivi kumbe nae ni chalii tu🤗
🤣🤣🤣Baadae bas.Asantesijasema ni chalii....😂 ila wapiga nyeto wanaanza wakiwa machalii
Nimembuka kitambo wakati TOT Band Mbeya wanapiga live Band Makasini Bar, kuna Brother wangu mmoja alikuwa anasema mida ya kufunga ndio muda sahihi wa kumuibia mke mdogo yule kiongozi wa Bendi Mwalimu Mng’ong’o alikuwa na wake 4 wote anaimba nao bendi akiwa anarudi anawapakia kwenye gari yake Baloon🤣🤣🤣Kuna mwingine kasema muda wa kuvusha housegal🤒
Wazambia hawahawa wa Six pack!?KKKK hili cheko la wazambian🤣🤣🤣😉
🤣🤣🤣🤣Inachezwa Kila jumamosi🤗Nimembuka kitambo wakati TOT Band Mbeya wanapiga live Band Makasini Bar, kuna Brother wangu mmoja alikuwa anasema mida ya kufunga ndio muda sahihi wa kumuibia mke mdogo yule kiongozi wa Bendi Mwalimu Mng’ong’o alikuwa na wake 4 wote anaimba nao bendi akiwa anarudi anawapakia kwenye gari yake Baloon