mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,284
- 71,969
hapa silali mpaka usingizi unichukue kimtindo....Yaani Hata iwe mchana siwezi angalia movie ya kutisha😆
hapa silali mpaka usingizi unichukue kimtindo....Yaani Hata iwe mchana siwezi angalia movie ya kutisha😆
Tumpe achezee😂Ngoja nikupigishe tu za kikubwa atajua mwenyewe kama atabemendeka......mtoto kalilia wembe🤒
Wee😳,sema kweli?vichalii vinadinyana toka viko latano😂
Unashangaa unavutwa mkono😂, umezima taa?hapa silali mpaka usingizi unichukue kimtindo....
taa nimezima ila naskiliza mziki yale mawazo hayaji 😅Unashangaa unavutwa mkono😂, umezima taa?
Ukimkata tu tutasikia yowe....tunajua tayariiTumpe achezee😂
sijui lakini nyie watu wazima mnadinyanaje😂 labda mna style zenu speshoWee😳,sema kweli?
Hiyo ndio mbaya, washa taa🌚😆 ... Honestly kulala bila taa siwezi.taa nimezima ila naskiliza mziki yale mawazo hayaji 😅
Avatar yako upo seriously sana bro....daah😔01:09h
Naangalia picha lá kiiran lililotafsiriwa kwa kihindi,yaani sielewi kitu! Bora niendelee kupiga gembe.
Nalog off
Onhoo, ni mambo ya hivi 🦮yaansijui lakini nyie watu wazima mnadinyanaje😂 labda mna style zenu spesho
shida ya kuwasha taa unaamka mapema sana... ndo maana hata mapazia nafungaHiyo ndio mbaya, washa taa🌚😆 ... Honestly kulala bila taa siwezi.
😂😂😂Ukimkata tu tutasikia yowe....tunajua tayarii
Kumbe.shida ya kuwasha taa unaamka mapema sana... ndo maana hata mapazia nafunga
ah kama ni hivo tu basi hamna jipya, madogo wanaangalia p*rn sana.....Onhoo, ni mambo ya hivi 🦮yaan
Namna ya kuvimiliki viuno ndo hawawezi wakubwa wanaweza....Yaan mtoto ni mtoto tu bwasheeah kama ni hivo tu basi hamna jipya, madogo wanaangalia p*rn sana.....
sasa mbona vijana wanatembea na wamama 😂Namna ya kuvimiliki viuno ndo hawawezi wakubwa wanaweza....Yaan mtoto ni mtoto tu bwashee