Unavunja Sheria za Uzi...
Naomba formula ya kutengeneza espressoNimejidanganya kunywa espresso Sasa usingizi hauji! Kuiga mambo ya wazungu unaweza angukia sura!
Ni kahawa hiyo inatengenezwa na mashine ya coffee.. sidhani kama Kuna mbinu yakienyeji unaweza itumia lkn ni hii coffee mara nyingi wanapenda kunywa waitaliano na ipo strong sio kama kahawa zetu hizo za mitaani!.. hiyo fani inaitwa baristaNaomba formula ya kutengeneza espresso



